WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu Damas Jackson natafuta MWL wa kubadilisha nae kituo .Aje Busega Simiyu mimi nije Babati, Tanga(wilaya yoyote) No:0768746977 elimu msingi

Pia Kama uko Karatu ,Alumeru , mkoa wa Kilimanjaro nitafute kwa namba hii :0768746977 Olivia uweze kuja Busega -Simiyu.
 
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ifumba iliyopo nzega-tabora. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka wilaya ya masasi-mtwara. aliye tayari aniPM
 
Njoo Kakonko mwalimu nicheki kwa 0626890702
Tangazo kutoka kwa mdogo wangu

Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633
 
Njoo
Tangazo kutoka kwa mdogo wangu

Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633
Njoo Kakonko MWL tuanze mchakato ...nicheki kwa 0753533877 au 0626890702
 
Nj
Habari zenu Wadau!

Niko Handeni - Tanga, idara ya Sekondari.
Shule iko barabara kuu ya kwenda Korogwe (Nauli ya kwenda Korogwe ni Tsh.2,500/= (na muda wa kufika Korogwe ni nusu saa). Pia ukitaka kwenda Dar nauli ni Tsh.12,000/= kutoka Shule ilipo kwa muda masaa matano tu unawasili Ubungo..... Ziko gari za saa kumi na mbili asubuhi kwenda Dar, Saa mbili, Saa nne, saa sita na saa tisa.

NJia ni Lami tu hakuna vumbi ukitaka kufanya Shughuli zako za kiofisi.

Natafuta mtu wa kubadilishana naye aje Handeni mimi niende Wilaya ya Mbozi , Mkoa wa Songwe, Idara Sekondari na Masomo yangu ni English na Kiswahili.

Kwa anayemjua mwenye hitajio hili anifuate In box ...............
Njoo kigoma MWL sikumbuka kaya vidala nine Handeni
 
Njoo Rorya aje Singida, Dodoma, Moro, Pwani, Iringa au Njombe. Idara Elimu sec. 0757036642
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije

1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Habari za jioni wakubwa mimi nina dada yangu anafundisha Andeni tanga. Na anataka mtu wakubadilishana nae kutoka mkuranga au vikindu.., ni mwalimu wa shule ya msingi kwa mawasiliano hayo hapo 0738891117/0784979520.
 
Wanyiha njooni kwenu mbozi nije rungwe,kyela au busokelo idara elimu sekondari.Cont.0762950789
 
Back
Top Bottom