Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo Iringa manispaa, nataka nibadilishane na mwalimu wa dodoma manispaa. Kwa ambae yuko tayari tuwasiliane inbox. Ahsanteni
Njoo itigi bosi
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Natafuta MTU wa kuja handeni tanga Mimi niende mbeya au dar idara ya sec 0719152715, 0755872472
 
Mwl idara ya sec natafuta mtu wa kubadilisha kituo cha kazi yeye aje handeni tanga Mimi nije mbeya jiji kwa mawasiliano Piga no 0719152715
 
Njoo Arusha Manispaa aje DSM(Ilala,Kinondoni,Ubungo)/Bagamoyo/Kibaha
Idara: Secondary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…