Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzega mji au dc?njoo Nzega- Tabora nije Songea au Namtumbo,,idara ya sekondari ,0682483756
nipo halmashauri ya wilaya kilindi-Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyeko mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUVUMA.
njoo kilwa nipo barabarani kabisa ya kwenda mkoa Wa Ruvuma Mimi nije KILINDI 0787421008nipo halmashauri ya wilaya kilindi-Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyeko mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUVUMA.
nicheki Mimi mwanga napataka 0787421008mm niko mwanga kilimanjaro natafuta mwalimu wa kubadilishana naye