Pia kuna mwalimu wa kutoka shinyanga anataka kuja Lindi au mtwara idara ya msingi
Cm 0654687529
 
Bado sijachoka wasambaa rudini kwenu Bumbuli_Tanga mimi niende Gairo, Kilosa au Mpwapwa,
Idara msingi.
Aliye tayari tuwasiliane
0767007916/0624026681
 
Jamani mbeya mjini au Vijijin wewe uje Iringa basi.....0624571670 idara msingi
 
Nataka mwalimu wa kubadilishana nae aje mwanza wilaya ya magu mimi nije tabora au dar es salaam,idara ya msingi
0626727220
 
Mwalimu yupo Rukwa anatafuta wa kubsilishna na walimu waliopo mikoa ya
KAGERA
GEITA
MWANZA
idara msingi
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…