Njoo Rungwe-kiwira nije Mbeya town au Mbeya vijjn-idara secondary;0765432283
 
Mkuu nataka nisogee Mbeya,familia yangu IPO Mbeya,sasa nmegundua kwa usawa huu Wa MAGU sio vzur kuishi mbalimbali!
Hongera mkuu, mi wife yuko huko tabora, nimehangaika kutafuta wa kubadilishana nae naona wanyamwezi hawataki kurudi kwao, nataka nimwachishe tu kazi arudi home apige mishe zingine.
 
"Njoo kasulu aje Shinyanga" ni wife wangu kapangiwa kasulu nahitaj mtu wa kubarishana nae ili arud Shy. Idara S/m Mawasiliano 0788375124 au aje pm
 
Nani kakuzuia kwenda Tabora kama unapapenda kwenda?

Mkuu tumia akili basi.Ni mtumishi yupi huwa anachaguliwa kituo anachopenda kwenda?

Mleta mada kaomba kubadilishana na mtu vituo vya kazi wewe unakejeli
 
Mpaka najishangaa humu nimeingiaje sasa , ngoja nisepe zangu [emoji124]
 
Nani aje kigoma kule kila mtu anakajini kake mfukoni au nikija huko na kajini utanipa maaana huko hatari
 
Mkuu tumia akili basi.Ni mtumishi yupi huwa anachaguliwa kituo anachopenda kwenda?

Mleta mada kaomba kubadilishana na mtu vituo vya kazi wewe unakejeli
Sijakejeli, nimemkumbusha kwamba tangazo lake halijakamilika. Halikuwa linajitosheleza kimaelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…