WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Muheza-Tanga nije Kibaha, chalinze, morogoro mjini, ama Dar es salaa..Idara ya Elimu Secondary
 
Njoo mahenge/ulanga aje halmashauri ya wilaya ya kilombero,Ifakara mji. Aliye tayari tuwasiliane kwa 0652040227
 
Habari zenu wanajamvi mimi ni mwalimu wa sekondary nilioko mkoa wa RUVUMA WILAYA YA TUNDURU natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo ambae yuko mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote au awe anatoka wilaya ya SERENGETI mkoa wa MaRa

Kwa yule atakae kuwa tayari naomba tuwasiliane kwa mawasiliano hapa chini

0743361083
0684734918
0769625978
 
natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi; njoo kahama mji na mimi nije kibaha mjini. Ni pm tafadhali
 
Back
Top Bottom