NJOO MKOA WA RUVUMA TUNDURU WILAYA YA TUNDURU NIJE KILIMANJARO WILAYA YEYEOTE 0769625978
 
Nenda Newala DC aje Mtwara (V) au Mtwara Manispaa idara ya msingi simu na. 0655421879
 
mbeya au songwe wewe uje mafinga.msingi 0759795604
 
Habari wapendwa mimi ni mwalimu wa sekondary niko mkoa wa RUVUMA wilaya ya TUNDURU

Atakae penda tubadilishane aje huku nije Kilimanjaro wilaya yeyote ile tuwasiliane kwa number

0743361083 au 0769625978
 
Kwa huo mbadilishano uandae hela ya kumlipa atakayekubali, all the best lakn
 
Mi mwl wa kondoa mji idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae ye aje kondoa mji mi nije moshi manispaa, rombo, Hai. Asante
 
Fuata hiyo link kujiunga na group LA walimu 8Yd4WsiKVZ3BvLXd5NLGmz
 
Njo kondoa mji nije kilimanjaro, moshi mjini, Hai, rombo, machame idara sekondari. No 0685579106 na 0710427477
 
nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae.. aje Geita DC. niende mvomero, kilombero, kilosa, chalinze, kibaha ,kisarawe. idara sekondari.. simu namba 0686255278. Natanguliza shukrani.
 
Yaani ni sawasawa na kumwambia mtu aje kuishi kwenye nyumba yako ya burundi haf akuachie nyumba yake ya ulaya ukakae wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…