Mkumbushe pia kuwa maji na umeme hatunaga mgao, recreation facilities aende kyela au mbeya mjini za kumwaga nauli 3000 tu.
 
Njoo Mbinga nije Mwanza (mhudumu wa afya)[HASHTAG]#0621133234[/HASHTAG]
 
Mimi mwalimu was sekondari katika Halmashaur ya chalinze natafuta MTU wa kubadilishana nae kituo ktk Manispaa ya Arusha au Moshi....

Kuna jamaa alinipigia kipindi flan nimepotesa simu yake....
Nitafute kwa namba : 0763227257
 
njoo Biharamulo shule ipo barabarani nauli mpaka geita 4000/= kwa sababu barabara ni lami. Kama utahitaji ni Pm inbox
 
Natafuta mwalimu Wa kubadilisha naye kituo cha kazi idara ya secondary aje Kilimanjaro Mimi nije Iringa mjini au vijijini.

Mawasiliano :0712253473
 
Mimi mwalimu wa sekondari halmashauri ya maswa mkoa wa Simiyu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi mimi niende jiji la mbeya mawasiliano 0765521062
 
Habarini humu, njoo mbinga(songea) nije Dodoma,singida au manyara sekondari
Contact,0625858439,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…