WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NILIPO
WILAYA: TARIME
IDARA: SEKONDARI, MATHEMATICS
SHULE IPO MJINI, NMB BANK IMEPAKANA NA SHULE, NYUMBA ZA WALIMU ZIPO
NATAKA KUJA
MKOA: MBEYA, PREFERREBLY WILAYA ZA MBEYA MJINI, RUNGWE
MAWASILIANO: PM
 
Njoo Kilimanjaro nije Iringa idara ya secondary

Mawasiliano: 0712253473
 
Mimi Ni mwalimu nipo mtwara wilaya ya newala-mji natafuta wa kubadilishana nae mkoa uwe wa pwani au Dar Sana Sana Dar
 
Njoo Mwanza nije aidha Mbeya, Iringa au Njombe. Idara (Elimu secondari).
 
Nipo halmashauri ya Geita nahitaji kuamia halmashauri ya Tarime namba zangu 0753805449
 
Back
Top Bottom