Njoo mahenge/ulanga aje IFAKARA MJI.idara elimu secondary.aliye tayari tuwasiliane kwa 0652040227
 
nipo idara ya msingi
mwalimu aje iramba kiomboi
mimi nije manyoni 0788479084
 
Habari natafuta mwalimu wa kutoka manyoni aje iramba kiomboi yote haya yanatokana na harakat za kuwa karibu na walez wetu.tafadhari tuwasiliane kwa namba 0788479084
 
Njoo Tabora (Nzega) mi nije popote ulipo (sekondari - chem & Bios), maana nshachoka kufanyakazi huku,
 
njoo mafinga nije mbeya,busokelo,rungwe...idara msingi 0624571670
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…