Wa kuja biharamulo niende mbeya town au tanga mjini.
Idara sekondari
 
Walimu wenzangu habari. Mimi ninaomba mwenye past papers tofauti za F6 hasa za mocks za miaka ya nyuma na zinazoendelea katika masomo ya Physics, Chemistry, Biology, Advanced Mathematics, History, Geography, Kiswahili, English, Economics, Accountancy, na Commerce. Nisaidieni niwasaidie vijana wangu. Atakayekuwa tayari tuwasiliane 0716 69 54 65.
 
Write your reply...Njoo ulanga Moro karibu shule ipo karibu na ifakara mjini nije mvomero,kibaha,handeni,dar,mkuranga,utete,kisiju au rufiji idara sekondari 0716171114/0622828956
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…