WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nenda Busokelo (Mbeya) Aende Mbeya Jiji idara msingi Pia Nenda Songwe AendeKyela idara Sekondari
 
Njoo meatu, nije dar, Dom, kondoa , pwani na Moro , idara secondary
 
Njoo Bagamoyo mimi nije Moshi vijijini au Manispaa.Idara Sekondari tuwasiliane 0768050062
 
Anayetaka kuja Dar es salaam! Wilaya ya ubungo! Mie niende Mara serengeti! Ani PM! Idara msingi! Ningeweza kwenda bila ya kubadilishana ila nimeona nimsaidie mwalimu yeyote mhitaji
Nipo Manispaa ya Musoma... Tunaweza kubadilishana?
 
Back
Top Bottom