Wakuu salama.
Mwalimu wa shule ya msingi aliyetayali kubalidishana ktuo cha kazi kutoka shinyanga mjini kwenda Tanga Mjini Shule ya Msingi saruji .
aliye tayari tuwasiliane 0786105531
 
Mwalimu sekondari aliye tayari kubadilishana kitu cha kazi aje shinyanga mjini( manispaa) nije mkoa Kilimanjaro halimashauri ya wilaya ya same ( vijijini) tuwasiliane .
 
Mwalim sekondari natafta mtu wa kubadilishana naye aje shinyanga mjini niende Kilimanjaro halimashauri ya wilaya ya same
 
Habari wapendwa mwalimu aliepo moro,pwani,arusha, Kilimanjaro tubadilishane aje kigoma dc, idara msingi
 
Tafadhali ndugu walimu kuna mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka jana, ni mda mrefu hatujawasiliana lakini leo kanambia amesikia kuwa kachaguliwa chuo cha uwalim moshi, tafadhali mwenye mwongozo wa selection za uwalim ngazi ya cheti anipe a,b,c maana kanambia niserch ili ajue kapangwa wapi,
 
Mm ninaomba kuuliza jamani ivi kwa sasa hata ukipata wa kubadirishana nae serikakali watakubalia uhame maana mm nimempata ila naambiwa na mkurugenzi wangu kuwa uhamisho umezuiliwa.... Naomba msaada waaana forum
 
mimi mwalimu wa sekondari nipo TABORA MANISPAA...kama kuna mtu yupo dodoma manispaa, morogoro manispaa au kibaha anataka kuhamia tabora mjini niPM.............
Kama yupo wa idara ya msingi aje mwanza mie nije tabora tuwasiliane0692779698
 
Njoo Mwanza nije tabora manicioal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…