edmund nelson
New Member
- Jan 26, 2017
- 4
- 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Bukombe geitaNJOO TANGA MJINI NIJE SHINYANGA MJINI (MSINGI) 0786105531
Simu yangu 0786446650
Vipi trh 10/1/2020 ulienda? Na uliambiwaje?Nadhani utaratibu wa uhamisho utakuwa umebadilika. Maana mimi nilikamilisha taratibu za kupitisha barua na yule ninaebadilishana nae.
Ilipofika wakati wa kupeleka barua zangu kwa katibu tawala wa mkoa ninapofanyia kazi, secretary wake akaniambia niende tarehe 10/01/2020.
Nikamuuliza nije kufuata nini wakati kwa ninavyofahamu mimi taratibu zote nimeshazikamilisha? Akasema uhamisho umesitishwa ila tunachokifanya hapa ni kuwaombea uhamisho wa dharura.
Na kiukweli klnimekuta barua nyingi sana. Lakini hakuniambia exactly nikafuate nini hiyo tarehe 10 ya january. Ila nikahisi nikwenda kuzichukua hizo barua na kuzipeleka Dodoma mwenyewe.
Je, kuna ambaye anauzoefu na hili lililonikuta?
Nadhani utaratibu wa uhamisho utakuwa umebadilika. Maana mimi nilikamilisha taratibu za kupitisha barua na yule ninaebadilishana nae.
Ilipofika wakati wa kupeleka barua zangu kwa katibu tawala wa mkoa ninapofanyia kazi, secretary wake akaniambia niende tarehe 10/01/2020.
Nikamuuliza nije kufuata nini wakati kwa ninavyofahamu mimi taratibu zote nimeshazikamilisha? Akasema uhamisho umesitishwa ila tunachokifanya hapa ni kuwaombea uhamisho wa dharura.
Na kiukweli klnimekuta barua nyingi sana. Lakini hakuniambia exactly nikafuate nini hiyo tarehe 10 ya january. Ila nikahisi nikwenda kuzichukua hizo barua na kuzipeleka Dodoma mwenyewe.
Je, kuna ambaye anauzoefu na hili lililonikuta?
Nimepewa barua ya kuombewa kibali cha uhamisho kwa katibu mkuu Tamisemi. nimeambiwa niipeleke Mwenyewe Dodoma.
Hata mimi nimeshapeleka barua kwa katibu mkuu nasubiri tu.... japo wanasema unapaswa kwenda tena kufuatilia.Kuna mwenye uzoefu baada ya kufikisha barua kwa katibu mkuu nini kinafuata???
Kibali kinatoka baada ya muda gani na inakuwa online majina au ndio personal hakuna zile kama za zamani unakuta uhamisho wa December majina yanatoka January.