Njoo Kasulu,Kigoma nije Mbeya wilaya yoyote ile.Idara shule ya msingi.

Love and peace
 
Nadhani utaratibu wa uhamisho utakuwa umebadilika. Maana mimi nilikamilisha taratibu za kupitisha barua na yule ninaebadilishana nae.

Ilipofika wakati wa kupeleka barua zangu kwa katibu tawala wa mkoa ninapofanyia kazi, secretary wake akaniambia niende tarehe 10/01/2020.

Nikamuuliza nije kufuata nini wakati kwa ninavyofahamu mimi taratibu zote nimeshazikamilisha? Akasema uhamisho umesitishwa ila tunachokifanya hapa ni kuwaombea uhamisho wa dharura.

Na kiukweli klnimekuta barua nyingi sana. Lakini hakuniambia exactly nikafuate nini hiyo tarehe 10 ya january. Ila nikahisi nikwenda kuzichukua hizo barua na kuzipeleka Dodoma mwenyewe.

Je, kuna ambaye anauzoefu na hili lililonikuta?
 
Vipi trh 10/1/2020 ulienda? Na uliambiwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pol hapo uhamisho wako umeyeyuka hivyo subiri uone
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenye uzoefu baada ya kufikisha barua kwa katibu mkuu nini kinafuata???
Kibali kinatoka baada ya muda gani na inakuwa online majina au ndio personal hakuna zile kama za zamani unakuta uhamisho wa December majina yanatoka January.
 
Kuna mwenye uzoefu baada ya kufikisha barua kwa katibu mkuu nini kinafuata???
Kibali kinatoka baada ya muda gani na inakuwa online majina au ndio personal hakuna zile kama za zamani unakuta uhamisho wa December majina yanatoka January.
Hata mimi nimeshapeleka barua kwa katibu mkuu nasubiri tu.... japo wanasema unapaswa kwenda tena kufuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…