Hbr natafuta meo wa kubadilishana nae kituo cha kazi ,mimi nipo kata ya igoma wilaya ya nyamagana Mwanza.mawasiliano 0658281154
Kama hauna unacho daiwa na serikali mf. Mkopo, andika barua uachane na muajiri lwa amani. Siku ukitaka kurudi kivihine atakupokea.WAUNGWANA NAOMBA MAWAZO KIDOGO.MIMI NILIKUWA MWALIMU WA CERTIFICATE( 2014) BAHATI NZURI NIMEFANIKIWA KUENDELEZA ELIMU KWA KIWANGO CHA DEGREE NA MWAKA HUU NAHITIMU MUNGU AKIPENDA.
NAOMBA USHAURI WA MAWAZO KIDOGO: NILIHITAJI NIBADILISHWE KITUO CHA KAZI KUTOKA WILAYANI NIINGIE MKOANI KUTOKANA NA AKIBA YANGU YA SALARY KUWA NDOGO NA FAMILY IKO MKOANI.
MAWAZO YANGU MAKUBWA ENDAPO WATANIKATALIA UHAMISHO NDANI YA MKOA KWA KUNISAIDIA NIANDIKE BARUA YA KUACHA KAZI AU NIACHE KAZI TU PASIPO HIYO BARUA.
MAWAZO YENU MUHIMU SANA KWANGU NAANZAJE KUFANIKISHA HILI WAPENDWA??
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kupata Mwalimu wa Kubadilishana aje Njombe-Wanging'ombe niende Kigoma-Uvinza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa.. unataka mtu wa kubadilishana yeye aje Ubungo na ww uende mji Kibaha au? Kama ndivyo nitafute mm nipo Mji KibahaNakaa Kibaha Tumbi ni bora nije kikazi Kibaha Mji. Kama uko tayari njoo Manispaa ya Ubungo.
Sent using Jamii Forums mobile app
0716958505
Kasamwa, Geita?