seantyga
Member
- Oct 22, 2019
- 5
- 5
Jamani hii issue imekaaje? Maana mimi nilikamilisha hatua zote na mwenzangu akahamia niliko tangu 2018 lakini mimi sipewi kibali, na nimepeleka nakala mara 2 kwa Katibu Tawala, mara 2 tena kwa Katibu Mkuu TAMISEMI tena pamoja na vivuli hadi vya kibali cha mwenzangu ila bado wamegoma, au ndio mkono mtupu haulambwi??
Daah! Rushwa imekita mizizi zaidi ktk huduma za serikali zama hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Rushwa imekita mizizi zaidi ktk huduma za serikali zama hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app