Jamani hii issue imekaaje? Maana mimi nilikamilisha hatua zote na mwenzangu akahamia niliko tangu 2018 lakini mimi sipewi kibali, na nimepeleka nakala mara 2 kwa Katibu Tawala, mara 2 tena kwa Katibu Mkuu TAMISEMI tena pamoja na vivuli hadi vya kibali cha mwenzangu ila bado wamegoma, au ndio mkono mtupu haulambwi??
Daah! Rushwa imekita mizizi zaidi ktk huduma za serikali zama hizi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh
ppole wapi tena huko uliko
 
Guys mimi ni mwalimu mwenzenu japo sio wa primary wala secondary. Ila mrs wangu ni mwalimu wa sec. Natamani sana kuwaunganisha walimu wote tanzania nzima ili kuwaletea umoja na mshkamano ambao ni solid. Kwa maana ya kwamba wanaweza kujadili jambo kuwahusu na wakawa na msimamo mmoja nchi nzima.
Kwa watakaopenda kabla ya kujiunga download app inaitwa telegram kwanza kupitia link hii hapa [emoji117]Download it here: Telegram – a new era of messaging
Baada ya kuipata app ya telegram nakuomba ujoin kwa kuclick hii link hapa chini[emoji116]
TANZANIA ALL TEACHERS ASSOCIATION
Basda ya hapo endelea kumshirikisha walimu wenzako wote walio kwenye contsct phone book ya simu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mbg
Mbona group lina member wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamegoma!? Wanasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwalim Emanuel Christopher Paulo wa halmashauri ya Musoma, idara ya elimu msingi natafuta mwalim wa kubadilishananae kituo cha kazi yeye aje wilaya ya Musoma mkoa wa Mara na mimi niende wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara. Mawasiliano : 0784455318/0768447488/0710063425.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…