WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo halmashauri ya Moshi vijijini nije Moshi manispaa au

Km upo Moshi vijijini kata ya Mabogini njoo Marangu Idara ya Sekondari.

Nicheki kwa 0784 8676 26
 
Huo uhamisho ni wa ndani ya wilaya ya moshi DC so ww andika barua tu wasilisha kwa DED usubiri majibu

Marangu mbona pako njema unaishi kweny kijiji chenye bank ya CRDB na mlima upo karibu
 
Yani unahama marangu afu unahamia mabogini?May God bless you..
Mabogini pako fresh nowdays afu kata ya Mabogin ndo ya pili kwa ukubwa na ya kwanza kwa population ndani ya wilaya nzima ya Moshi vijijini Ina Umeme kila Kona , maji yakutosha maisha mepesi huwezi lala njaa hata Kama huna hela kero Ni Barabara haina lami Japo inapitika fresh tu ila kwa TPC Barabara Ni Kali inshort Moshi iliendelea toka enzi za ukoloni[emoji8]
 
Marangu kuko vizuri kuliko huko mabogini
 
Nko singda nahtaji kuhamia moro au pwan au dar kwa yyte Alie tayari pls, mwalimu secondary
 
Anaetaka kuja mbeya jiji niende Arusha jiji anitafute idara sekondari
 
Back
Top Bottom