WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nipo TANGA nahitaj kubadilishana n mtu kutoka kibaha bagamoyo au dar..please if you are interested chek me on 0759426662!....asante
 
Mwalimu Akiwa mkoani Kigoma, anatafuta wa kubadilixhana nae kokote kule
piga 0762370117 .
 
kwa niaba mwalimu ray aliyeko wilaya bunda mkoa wa mara idara ya msingi anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka Misungwi.mangu;monduli au manyara.mawasiliano 0758907466
 
Mwalimu kapesa mvungi aliyeko wilaya ya bunda mkoa wa mara idara ya elimu msingi anatafuta mwalimu kubadilishana nae kituo kutoka Kilimanjaro wilaya yeyote,Lushoto tanga.kwa mawasiliano 0757999512
 

Kwa mwl.yeyote shule ya msingi anayetaka kwenda Geita mjini mi nije Dodoma mjini. Call through this # 0712122480
 
Mimi ni mwalimu idara ya msingi kwa yeyote anaetaka kuja halmashauri ya sengerema mwanza mi niende wilaya ya mbulu tuwasiliane kwa 0684223372 au 0765200735 natanguliza shukrani.
 
Mimi ni mwalimu ninafundisha shule ya sekondari Embarway-Ngorongoro iliyopo hifadhini mbele ya crater ngorongoro,ninahataji kubadilishana na mtu wa Arusha D.C,,Meru,Arusha vijijini.mawasiliano 0764735888..
 
Mwl. Yupo Kazima sec. Manispaa ya Tabora, kwa Mwl. Kutoka Manispaa ya Bukoba twanga 0682 279435.
 
Nipo Magu Mwanza/msingi, kwa Mwl. Kutoka Morogoro, Kibaha, Mkuranga , Bagamoyo au Dar nichek.0682 279435.
 
Nasikitika kusema kuwa walimu wengi hawana adabu,kwan wanaweka maombi ya kuhama halafu unatumia muda wako na fedha zako kuwaunganisha halafu unawatumia sms kwenye namba walizoandika hawajibu.mtabaki hukohuko had muelimike kwanza,siwaunganishi tena walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…