WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
hivi wadau, mbali na hapa jamii forum kule whatsap kwenye magroup pia tunachangamkia fursa za kutafta wa kubadilishana nao?, au kule fb? maana kule pia watu wanapatana
 
Habarini wakuu!!!
Kuna telegram group limeundwa ambalo linachukua members wengi zaidi ya watsup hata ambapo walimu tunaweza kupata watu wakubadilishana nao vituo vya kazi.
Na ni kwa walimu wote wa shule msingi na sekondari.
Kujiunga fuata link hii.

 
Mimi ni mwalimu wa msingi halmashauri ya Ngorongoro, je naweza kubadilisha kituo Cha kazi ndani ya halmashauri yangu? Na je nafuata utaratibu gani mpaka nifanikishe uhamaji huo?
 
Back
Top Bottom