TANGAZO!! TANGAZO!

Natafuta mtu wa kubadilishana kituo Cha kazi.Idara ya Elimu Secondary Somo la HESABU.

Kituo changu Kwa Sasa ni Mkoa wa Kigoma, Wilaya ya Kasulu mjini

Natafuta mtu wa kubadilishana nae ktk mkoa wa Dar es salaam, Pwani, Tanga na Morogoro Wilaya yeyote ile.

Mawasiliano ni. 0786538767/0652180400
 
Njoo Kigoma, Wilaya ya Kasulu mjini

Idara ya Elimu Secondary Somo la HESABU.

Nije
Dar es salaam na Pwani Wilaya yeyote Ile.

Mawasiliano ni. 0786538767/0652180400
 
Njoo Kigoma, Wilaya ya Kasulu mjini

Idara ya Elimu Secondary

Nije
Dar es salaam,Tanga,Morogoro au Pwani Wilaya yeyote Ile.

Mawasiliano ni. 0786538767/0652180400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…