WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu: Yupo MOROGORO MANISPAA
Idara: SEKONDARI

Anataka kwenda: KIBAHA HALMASHAURI YA MJI, AU MBEYA JIJI

Ana kiwanja pia, Kata ya MKUNDI, MTAA WA MAWASILIANO, CHENYE UKUBWA WA MITA 35 KWA 70 (square mita 2450), kimepimwa na kimeshawekwa bikoni, bado hati tu (kama ukipenda mnaweza kuuziana na kiwanja pia)

Jamaa anahama mji kabisa, UKIWA INTERESTED NJOO PM!

NOTE: STRICTLY KIBAHA MJI, AU MBEYA JIJI!
 
Habari wadau.. Hivi ni sahii kwa afisa elimu kukataa kusaini barua ya kufunga data sheet mpaka amuone ninaye badirishana naye??
 
Kwa niaba aende tanga wilaya yoyote, pwani, kisalawe, bagamoyo, dar wilaya yoyote idara msingi, yupo geita 0738253942, 0719152715
 
Back
Top Bottom