WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu anaomba mtu aje Nyanghwale-Geita, yeye aende, kibaha, bagamoyo, Dar es salaam, Moshi.
Nyangwale to mwanza nauli elfu 5 masaa mawili tuu

Nyangwahle to kahama nauli elfu 5 masaa mawili

kwa pikipiki lisaa na nusu

idara sekondari masomo ya sayansi
 
Natafuta mwalimu kubadilishana kituo cha kazi aje iramba singida niende mwanza halmashauri yeyote
Idara Elimu ya msingi
Mawasiliano 0742030229, 0786785350
 
Natafuta mwalimu kubadilishana kituo cha kazi aje iramba singida niende mwanza halmashauri yeyote
Idara Elimu ya msingi
Mawasiliano 0742030229, 0786785350
 
Mwalimu: Yupo MOROGORO MANISPAA
Idara: SEKONDARI

Anataka kwenda: KIBAHA HALMASHAURI YA MJI, AU MBEYA JIJI

Ana kiwanja pia, Kata ya MKUNDI, MTAA WA MAWASILIANO, CHENYE UKUBWA WA MITA 35 KWA 70, kimepimwa na bikon, bado hati tu (kama ukipenda mnaweza kuuziana na kiwanja pia)

Jamaa anahama mji kabisa, UKIWA INTERESTED NJOO PM!

NOTE: STRICTLY KIBAHA MJI, AU MBEYA JIJI!
 
Back
Top Bottom