Haya fanyeni fasta namuhamisha mke wangu mtarajiwa kutoka Lushoto aje tanga jiji,kibaha dc,kibaha town,moro town

Fanyeni fasts nishatoa mahali wasambaa wananichapia demu wangu.
mbona wasambaa wastaarabu na waungwana...wenye tabia iyo wanayo wazigua
 
Mwalimu wakubadilishana.
Yupo ushetu anataka kuhamia mkoa wa Kilimanjaro au Arusha,wilaya yoyote.
Idara msingi.

Mwalimu mwingine anahitaji kwenda wilaya ya Bagamoyo kutoka wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro.
Idara sekondari.
 
[emoji872][emoji872]TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI

njoo liwale, nije mwanza wilaya nyamagana, kibiti, dodoma, mkuranga, pwani, geita, bagamoyo, kibaha

Mawasiliano whatsup 0787076174/0624555318
Nicheki tuyajenge

Idara ya elimu msingi

🪢🪢🪢🪢🪢🪢🪢🪢🪢
 
Kwa mwalimu wa kubadilishana aje SIKONGE mkoa wa TABORA mimi nije mkoa wa MOROGORO manispaa, Idara ya Secondary,
Kwa mawasiliano 0655 545575

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…