WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Masasi mji nije songea mjini idara elimu sekondari
 
Njoo TANGA JIJI niende DSM wilaya yyte...idara;elimu msingi 0692929102
 
Mdugu walimu mwenye kutaka kuja Tabora manispaa niende Kigoma manispaa anicheki tuyajenge.. idara sekondari masomo Math na kemia.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Nipo dodoma nataka kuja dar mathematics,physics and chemistry nitafute
 
Natafuta wa kuja Kilimanjaro-Same DC. Mjini. Niende Mwanza, Geita au Shinyanga. Idara Elimu Msingi-Elimu Maalum. TSD namba na cheki namba ipo
 
Njoo Masasi mji nije songea mjini idara elimu sekondari
 
ANAYETAKA KUJA IRINGA DC KUTOKA MOJA KATI YA MAENEO YAFUATAYO:-
MAFINGA TC
MAKAMBAKO TC
NJOMBE TC
MAKETE

IDARA ELIMU SEKONDARI
MASOMO YA SANAA
 
Poleni sana, Mnaishi Kwa kuhamahama kama wakimbizi. Maisha yenu magumu sana
Kwa hii comment kuanzia kule ulipoenda unataka kula mtt wa mwalimu. Sikuona ishu ya wewe kusitisha history yako Mana Ni maaamuzi Ila kwa hii comment. Binafsi moyo mpaka umepasuka. Una miaka mingapi na una Nini labda mpaka uwaone wenzako Kama Wana shida. Je Kuna Msaada wamekuomba. Mbona ukiwa tajiri dunia nzima Kama Elon Musk utatunyea usoni kwa kauli hii.

Namie huwa najua Kuna kauli ambazo zinaendana na balance kwa bank account ama ana miliki nyumba ngapi za kupangisha.
Sure kauli huwa zinaendana na uwezo wetu wa Aina nyingi
 
Naomba kuuliza..kwa mwalimu ambaye yupo masomoni anaweza ku process uhamisho akiwa yupo masomoni?
 
Back
Top Bottom