Unakaa kituo kimoja ubadilishi mazingira. Hii ni hatari sana.
Njoo huku Nyasa idara ya secondary chap nije Iringa manispaa, kilolo au mafinga.
 
Wale wa Arusha kujeni mm niende Tanga Moro Au pwani pamoja na Dodoma mawasiliano 0789643594
 
aje Dodoma jiji aende dar es salaam (kinondoni ama ubungo).....elimu sekondari
 
Kwa anayetaka kwenda ilala kutokea ubungo au kinondoni idara sekondary Kuna mtu anahitaji wa kubadilishana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…