WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Unakaa kituo kimoja ubadilishi mazingira. Hii ni hatari sana.
Njoo huku Nyasa idara ya secondary chap nije Iringa manispaa, kilolo au mafinga.
 
Wale wa Arusha kujeni mm niende Tanga Moro Au pwani pamoja na Dodoma mawasiliano 0789643594
 
Kwa anayetaka kwenda ilala kutokea ubungo au kinondoni idara sekondary Kuna mtu anahitaji wa kubadilishana naye
 
Back
Top Bottom