Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Hello! Kuna mdogo wangu anatafuta mwl wa kubadirishana vituo vya kazi shule ya msingi, yeye amepangiwa mkoa wa kigoma wilaya ya kakonko, anataka arudi mkoa wa mbeya, kati ya wilaya ya kyela, mbeya vijijin mbeya jiji na rungwe
Aliepangiwa kati ya wilaya hizo hapo juu na anataka kurudi kigoma ajitokeze tufanye mchakato fast
Contact: 0752735855
NB. Upande wa pesa nitachangia ili kuharakisha mambo. Thanx
njoo mwanza nyamagana
mi pia mbeya home mbeya tukuyu kwa mwakaloboMimi niko idara ya sec., mdogo wangu ndo anataka mtu wa kutoka kigoma yy arudi mbeya, ungekua mwl wa sec. Tungebadirishana uje mbeya mm nije mwanza, huko ndo home
Mnaojua vizur Singida vijijin naombe msaada kujua miundombinu na pia wenyej wa kule wanajishughulisha na nin ???? Please Nahitaji kujua mazingira tu kwa kujipanga zaid wadau ahsante.
Njoo sumbawanga nije wanging'ombe, njombe au mufindi. Idara sekondari ni pm.