WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo masasi mjini nije songea mjini, Songea DC au namtumbo.
 
Mwl wa Basic Mathematics nataka kuhamia mtwara aliye tayari aje Tarime Nyamongo Mgodini kbs. Me nafuata familia tu ila hapa napotoka pazuri mno nyumba za watumishi za kutosha. Aliye tayari 0626115067
 
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
Kaka njoo Kilimanjaro huku..nicheki inbox chapuu
 
Back
Top Bottom