WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
natafuta wa kubadilishana nae njoo mbeya nije dar , moro , tanga au pwani
 
Natafuta Mwl wa kubadilishana kituo cha kazi, idara elimu sekondari. Kwa wale walimu wa kutoka mkoa wa KAGERA -NGARA mnaopatikana maeneo ya Magu, Sengerema, Misungwi, Butiama, Musoma, Geita na Ramadi naomba tuwasiliane inbox.
 
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
njoo ruangwa lindi nije popote ulipo isipokuwa mikoa ya kusini (lindi, mtwara, ruvuma nk)

[emoji1][emoji16][emoji1787][emoji23]
 
nina miaka isiyopungua 6 humu, na miaka isiyopungua 5 kazini lakini sijawahi ona wala kupata mtu anataka kuja Ruangwa, why?


Jamani ofa hii
Anayetaka aje Ruangwa mimi niende popote aliko tofauti na kusini yaani Lindi, Mtwara, Ruvuma nk
 
Naomba kuuliza kwenye uhamisho wa kubadilishana Kuna ulazima masomo yafanane na unayebadilishana nae? mfano wote ni arts ila tofaut wew una hist & eng na yeye ana his & kisw... msaada
 
Aje Singida aende Tanga Jiji au Muheza Idara elimu Msingi
 
Mwl wa Basic Mathematics nataka kuhamia mtwara aliye tayari aje Tarime Nyamongo Mgodini kbs. Me nafuata familia tu ila hapa napotoka pazuri mno nyumba za watumishi za kutosha. Aliye tayari 0626115067
 
Back
Top Bottom