WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
Kaka njoo Kilimanjaro huku..nicheki inbox chapuu
 
Njoo songea manispaa niende mko wowote ISIPOKUWA Mikoa ya kusini yote pamoja na kanda ya ziwa!
Idara sekondari

Inbox for details!
Njoo hata masasi mkuu pako poa sana
 
Hello members Nina ndugu yangu yy ni mwalimu idara msingi yupo mkoa wa shinyanga halmashauri ya kahama (msalala). Anataka kuhamia mikoa ya NYANDA za JUU KUSINI yaani mkoa wa iringa, NJOMBE,mbeya na songwe

Kama unamjua mwalimu au ni ww mwenyewe unahitaji kuhamia hii Kanda ya ziwa wasiliana naye kwa namba 0747456177
 
Njoo Kagera-Ngara mimi niende maeneo yafuatayo:-
*Geita
*Bunda Mara
*Magu
*Misungwi
*Butiama
*Musoma Municipal
*Sengerema
*Tarime
*Rorya
*Kahama Municipal
*Busegwa
*Ramadi
Kwa yoyote aliyetayari nicheck in box. Idara yangu ni elimu sekondari na ninafundisha Mathematics na Geography.
Mimi ninashida ya kuhamia Moro natafuta mtu ambaye yuko tayari kuja bunda mjini, idara ni elimu msingi..sababu nataka niende karibu na familia
 
nina ndg yangu yupo Simiyu, NJOO SIMIYU*MEATU* NIJE MANYARA KILIMANJARO ARUSHA
Idara msingi
 
Tupo Mbeya Busokelo DC Sekondari na mwenzangu yupo msingi tunatafuta wa kubadilishana nao waliopo Songea manispaa au Dc
 
Back
Top Bottom