Habari wakuu
naomba kubadilishana nae nije Halmashauri ya Kibaha,Bagamoyo,Mkuranga,Chalinze na Halmashauri zote za Mkoa wa Dar na wewe uje Mkoa wa Singida,Halmashauri ya Singida Vijijini
 
NJOO RUVUMA NIJE MOROGORO, IRINGA, PWANI, AU MBEYA HALMASHAURI YOYOTE ILE.

ELIMU SEKONDARI
 
Mwl njoo tubadilishane vituo vya Kaz njoo mwanza buchosa nije mkoa wa pwan halmashauri yoyte
*Idara ya secondary masomo ya sayans
*Pesa ya usumbufu/allowance kiasi Cha 1.5M itatolewa
*Kama uko serious nicheki
Njoo Tanga ndugu
 
Naomba uje mkoa wa Mara wilaya ya Bunda Nije mkoa wa pwani au tanga idara ya ELIMU secondary karbu mawasiliano njoo PM
 
Njoo TANDAHIMBA-MTWARA
MASOMO - CHEM BIOS
NIJE- IRINGA
NB wilaya yoyote
 
WAKUJA IRINGA KILOLO MIMI NIENDEE DODOMA JIJI,CHAMWINO,BAHI,KONGWA,NA MPWAPWA IDARA MSINGI njoo PM kwa mazungumzo zaidi trust me hatutachukua miezi miwili mambo yatakuwa TAYARI
 
Njoo ukerewe nije mtwara,Lindi wilaya yoyote elimu msingi
 
Niko Moshi Vijijini Marangu, nataka kuhamia Moshi mjini, Idara ya Sekondari au Shule za Moshi vijijini vinazozungusha manispaa.

Kama wewe natafuta mtu wa kubadilishana naye, nitampa gharama ya uhamisho pia.
Njoo PM tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…