WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi


Asante. Vipi katika wilaya ya Mkalama niombe nipangwe sehemu zipi ambazo angalau zipo karibu na Singida town au maeneo yaliyomo kwenye access ya barabara
 
Tubadilishane...mi nije huko wewe uje huku wilaya ya Bunda mkoa wa Mara...mjini kabisa. Shule ya sekondari.


Mawasiliano. 0654448569

nahitaji morogoro mdau hata kama ni kijijini haijalish
 
Huyu jamaa yupo halmashauri ya MBOZI anataka kwenda Halmashauri ya MBEYA.Idara-Sec.
0767 969292.
 
kama kuna mwalimu anataka anataka kubadilishana,aje mtwara mjini mimi niende moro au pwani,ama kama yupo anayetaka kuja moshi,mimi niende dodoma mjini,pwani ama dar!!!plz tuwasiliane.its criuz!!!!
 
kama kuna mwalimu anataka anataka kubadilishana,aje mtwara mjini mimi niende moro au pwani,ama kama yupo anayetaka kuja moshi,mimi niende dodoma mjini,pwani ama dar!!!plz tuwasiliane.its criuz!!!!

mhhh,hii kali upo sehemu moshi na wakati huohuo upo mtwara,dah............
 
jamani kwa anaehitaji kuja mbeya wilaya ya rungwe awe anatoka dodoma,morogoro,pwani au sehemu yoyote dar kitengo cha primary tuwasiliane kwa namba 0789389152.natanguliza shukrani zangu
 
Anayetaka kufanyia kaz wilaya ya kasulu mm niende arusha,manyara-babat, tanga kahama mjin,singida mjin na morogoro tuwasiliane 0756729922/0713335756
 
Anayetaka kufanyia kaz wilaya ya kasulu mm niende arusha,manyara-babat, tanga kahama mjin,singida mjin na morogoro tuwasiliane 0756729922/0713335756. Idara ya sec
 
Salamu kwenu, Anayependa kufanya kazi wilaya ya bukoba-kagera na umepangiwa mwanza au geita, kitengo cha sec. naomba uni PM tuwasiliane zaidi.
 
Ndg njoo Kyerwa hapa ni jirani
 
Mi nimepangwa Simiyu lakini Nataka Mbeya au Rukwa anayetaka tubadiloshane
 
Kama unataka kuhamia rorya idara ya secondary na mm nije mkuranga, kibaha, ilala, temeke, kinondoni twanga 0683900853
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…