Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Oi nimepangiwa wilaya ya rungwe nafasi ya weo nipo tayar kwenda mkoa wowote isipo kuwa iringa, njombe, na ruvuma,, aliye tayari kuja rungwe ani pm ..
Mimi nimepangwa namtumbo songea,idara ya sekondari nataka mtu wa kubadilisha naye kutoka moja kati ya mikoa hi Manyara, Morogoro, Pwan, Dsm, Iringa, Tanga na Mwanza. Kama ukotayar nicheki,0713320319 au 075703 6642
me niko ngazi ya shahada wewe je? we umepangwa simiyu au
Nimepangwa Tunduru Ruvuma, natafuta wa kubadilishana naye ili mimi nibaki Mbeya kama yupo tuwasiliane