njombe vipi.
sasa ni wewe au ndugu yako?Kama hoja inavyojieleza, kuna ndugu yangu amepangiwa lushoto lakini kwa sasa mumewe amehamishwa kikazi halmashauri ya mufindi. Mwanzoni walikuwa mkoa wa tanga lakini baadaye wakahamishwa.
Sasa kama kuna mwalimu yuko mufindi anahitaji kwenda lushoto (tanga) naomba ani pm ili tubadilishane naye, mimi nataka kuhamia mufindi (iringa)
sasa ni wewe au ndugu yako?
Njoo sengerema mwanza,idara msingi nije pwan,tanga,mor,mtwara ni pm
Njoo halmashauri ya iringa idara ya sec