WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa anayetaka kwenda geita yuko Magu, ilemela au nyamagana, tuwasiliane tafafhali. 0766087636
 
Niko BUNDA- MARA Sekondari
natafuta wa kubadilishana naye kwa mikoa ya Pwani, Dar es salaam na Tanga jiji
 
Aliyepo magu, ilemela au nyamagana anataka kwenda geita, mchek 0766087636
 
idara sekondari... anayetaka kuja MBANDE KONGWA.... mi niende dodoma manispaa... ani pm
 
Idara ya Secondary; anaetaka kwenda Chamwino- Dom mi nibaki Dodoma manispaa au Mpwapwa tuwasiliaene please.
 
mwalim idara ya sekondari aje shinyanga niende mbeya iringa ama njombe tuwasiliane 0757555715
 
Habari wadau. Nipo mtwara wilaya ya newala idara ya secondary kwa yeyote anayetaka tubadilishane kutoka morogoro, dar au pwani. mawasiliano 0684224478
 
Mwl idara ya sekondari nimepangwa MISSENYI kwa yyte anetaka kuja hku nami niende dar, pwani au morogoro tuwasiliane kwa 0765167852
 
Wadau mimi ni mwalimu idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe.Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro,Pwani na Tanga.Mawasiliano 0757920263 na 0718073753.
 
Aliyeko magu, ilemela au nyamagana anataka kwenda geita tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…