Ndugu wadau mimi ni mwalimu idara ya sekondari Wilaya ya Ukerewe Mwanza,Nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye mikoa ya Tanga,Morogoro,Pwani na Dar es salaam.Mawasiliano 0757920263,
Ndugu wanaukumbi mimi ni mwalimu wa sekondari hapa Ukerewe Mwanza.Nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye mikoa ya Tanga,Morogoro,Dar es salaam na Pwani.mawasiliano 0757920263.
kuna mtu amepangiwa ualimu Grade A(shule ya msingi) Mkoa wa Pwani wilaya ya Rufiji anatafuta mtu aliepangiwa Arusha au maeneo ya karibu na Arusha ili wabadilishane nae.Tafadhali kama unamfahamu mtu aliepangiwa Arusha au karibu na Arusha na anataka kubadilishana ili aende Mkoawa Pwani basi tuwasiliane.Simu:0719232254
Mwalimu wa sekondari anayetaka kuja SINGIDA-MKALAMA mimi niende eneo lolote lile la mkoa wa DAR au PWANI basi anitafute ili tubadilishane; 0716 860860.
Mwalimu yeyote wa sekondari anayetaka kuja SINGIDA-MKALAMA mimi niende eneo lolote la mkoa wa DAR au PWANI basi anitafute ili tubadilishane; 0716 860860.