WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

MWL IDARA YA SEKONDARI KUTOKA SINGIDA MANISPAA/MJINI ANATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE YEYE AENDE MOROGORO MANISPAA..
plz PM me "250,000 tshs ya kusafirishia mizigo itatolewa"
 
Idara ya msingi: anatafutwa wa kubadilishana naye, anayetaka kuja missenyi kutoka mwanza.... pm kama ni muhitaji!
 
Unaetaka Tarime naomba uje Mugumu,maana ni karibu sana na Tarime,njoo mwalimu nirudi home.
 
Unaetaka Tarime naomba uje Mugumu,maana ni karibu sana na Tarime,njoo mwalimu nirudi home.0766942129.
 
Mimi ni mwl (sekondari) (shahada) natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Nipo halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha nahitaji kwenda Morogoro au Pwani (Kibaha, au bagamoyo) waweza wasiliana nami kwa namba 0765 77 50 84
 
Nina dada yangu mwalimu wa sekondari yuko Tarime anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa kilimanjaro wilaya yeyote isipokua Rombo. yeyote aliye tayari tuwasiliane kupitia 0755517076.
Pia alieko Tanga au Pwani na angependa kwenda Tarime tuwasiliane pia kwa namba tajwa hapo juu...asanteni
 
Nahitaji mwalimu kutoka huko Tanga abadilishane na alieko Tarime..aliye tayari tuwasiliane kupitia 0755 517076
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Mimi ni mwl wa sekondari (shahada) nipo mkoa wa Arusha halmashauri ya Meru, kama upo Dar (wilaya yoyote) au Pwani (Bagamoyo, Kibaha mji au Kibaha vijijini) au Morogoro ( Manispaa, Morogoro vijijini, Kilombero, Mvomero) au Tanga na unataka kuhamia nilipo waweza ni pm au wasiliana nami kupitia namba 0765 77 50 84.
 
Jaman walimu muache kutuma post yako mpya kwenye post ya mwenzako kwan unamfanya mwenzako asionekane kwa haraka
 
Nipo halmashauri ya Msalala-Shinyanga idara ya secondary-Shahada nataka kubadilishana na mwalimu kutoka Kilimanjaro, Arusha, au Pwani. 0754 033018, 0654495591.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…