kichelepure
Member
- Mar 31, 2014
- 95
- 36
Aliye tayari kuja KILWA tubadilishane,atoke Tanga,Arusha,kilimanjaro au Morogoro.mwalimu sekondari.aliye poa ani pm au jibu hapa
Natoka mkoa wa arusha nahitaji kubadilishana na mwl wa morogoro.tanga na pwani. 0788628489 au ni pm.
Aliye tayari kuja KILWA tubadilishane,atoke Tanga,Arusha,kilimanjaro au Morogoro.mwalimu sekondari
kichelep said:Secondary au msingi?
Msingi mku.
anayetaka kuja tabora uyuwi niambie