Mimi Mwalimu wa shule ya Msingi Mkoa wa Iringa Wilaya ya Mufindi nahitaji kuwasiliana na wewe ili kubadilishana vituo vya kazi kama ulivyoomba. Nahitaji kwenda Bagamoyo, Kisarawe au Kibaha. Kama upo tayari naomba tuwasiliane kupitia0767 221777 / 0714451777 au 0655 595814
Mim ni mwl nipo singda manispaa natafuta m2 wa kubadilishana nae kutoka mwanza city yeye aju hapa manispaa,nataka kurud kwe2 aliye tayar ani pm 0764661232
Kama yupo anayetaka aje LUDEWA idara msing shule ya LUANA ipo barbaran,karbu&ludewa mjin,maji yapo,umeme ndio unafungwa wayaring majumban&ktk taasis shule&kanisa hadi ktk nyumba za walimu mie nimepewa na nyumba.anayetaka awe anatokea tanga 0753884902
Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza wilaya za ilemela, nyamagana au sengerema mjini. Idara ya sekondari tuwasiliane 0714588035/0752247478
Kuna mwalimu wa shule ya msingi yupo kilolo iringa anatafuta wa kubadilishana nae kutoka mbeya wilaya za rungwe au kyela.hapo alipo ni mjini nyumba za walimu zina huduma zote muhimu kama umeme,maji na huduma zingine.tuwasiliane 0789389152