WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Aliyeko babati tanga na moro km unataka kuja arusha nione 0788628489
 
Njoo Rorya idara ya s/msingi Dogo aje arusha au manyara wilaya yeyote. Piga 0786388710
 
Nipo Mafia kwenye samaki wa kutosha. Idara ya msingi nahitaji wa kubadilishana nae kutoka mikoa ya Tanga, moro na Mwanza. Au yeyote anayetaka kuja pande hizi anicheki hapa 0712016405.
 
Mimi mwalimu wa Shule ya msingi nipo Tabora wilaya ya nzega, nataka kuhamia kilimanjaro au Tanga. Kwa aliye tayari anitafute kwenye 0689579655. Asante
 
Mim ni mwl nipo singda manispaa natafuta m2 wa kubadilishana nae kutoka mwanza city yeye aju hapa manispaa,nataka kurud kwe2 aliye tayar ani pm 0764661232

njoo ukerewe kaka nipo wilayan hapa 0762369619
 
Mimi mwl wa sekondari nipo songea natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka dodoma mjin au chamwino.aje huku mimi niende huko.reason mama yangu hajiwezi anahitaji msaada wangu kwa karibu.0719490040

Serengeti mara vipi?
 
Kwa anaye taka kubadilishana kituo, mimi nataka kwenda kati ya maeneo ya CHALINZE, KIBAHA na BAGAMOYO toka Wilaya KYELA kwa shule za sekondari tu, natanguliza shukrani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…