WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Idara ya sec njoo hapa! Nipo nzega natafuta wa kubadilishana nae aliyopo pwani,moro,chalinze.kwa yeyote anaetaka ani pm au nichek no.0687072954
 

kama vile hujaelewea,unataka kwenda wapi?,halaf mambo ya masomo mbona haya mati
 
Mwlm (idara ya msingi) njoo KARATU-ARUSHA mm nije wilaya za RUNGWE,BUSOKELO,MBOZI,KILOSA,MBEYA VJJN, NJOMBE MJI AU KYELA, Mawasiliano: 0754378479
 
Njoo KARATU-ARUSHA idara ya msingi mm nije RUNGWE,BUSOKELO,MBOZI,KYELA,MBEYA VJIJIN,KILOSA au NJOMBE MJI, mawasiliano:0754378479
 
Jaman aliye dodoma wilaya yoyote aje mwanza, idara ya msingi 0766558570 or 0683902828.
 
Mimi na mwalim wa Secondary Natafta wa kubadilishana nae aje SAME Kilimanjaro niende ILEMELA au NYAMAGANA Mwanza. Tuwasiliane 0784 327 685
 
Nipo iringa-kilolo. Kama upo bagamoyo, mkuranga au kisarawe idaraya ya sec. 0759282829.
 
kuna jirani yangu yupo Kibondo pale mjini anataka kwenda Arusha-Monduli au Karatu. Idara ya Msingi
 
mwlm idara ya secondar; kwa yeyote anayehitaji kuja halmashaur ya bunda (mara), mie nije iringa au moro.
4N NO_0785914538.
 
Njoo CHATO-GEITA (MJINI) nije MOROGORO MANISPAA. 0764264315
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…