Jukwaa la Picha?????? Mh.. Au !! Labda ungehamisha bandiko lako mwalimu lipeleke jukwaa husikanaitwa mwl omari wa mtwara wilaya ya tandahimba natafuta mwl yeyote wa kubadilishana nae kutoka mkuranga au Temeke.
mkuu umepotea...naitwa mwl omari wa mtwara wilaya ya tandahimba natafuta mwl yeyote wa kubadilishana nae kutoka mkuranga au Temeke,namba za cm 0782375646.
Chezea ualimu, ni kama kaazi iliyolaniwa na Serikali ya JMT
Ukiona Elimu gharama Ishi kwa upuuzi wako