WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

habari!? kwa mwalimu yeyote anayeteka kuhama Kituo kwa kubadilishana kutoka wilaya ya HAI mkoani KILIMANJARO kwenda wilaya yeyote mkoani BUKOBA -->idara msingi amtafute huyu hapa chap 0765399219
 
kama kuna mtu angependa tubadilishane vituo vya kazi,aje ngara kagra mimi niende makambako,arusha jiji au babat manyara kwa idara ya sekondari (mwlm)
 
NAITWA MWL FRANK JONAS,NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE AJE KWIMBA MWANZA MM NIENDE MORO AU PWANI WILAYA YOYOTE IDARA YA MSINGI
Nitafute kwa 0753237373.
 
Nipo Secondary Nyanshimo Dk 30 Toka Mwanza Mjini,njoo Pwani~mkuranga,kibaha Au Kisarawe.Mawasiliano 0768560009 Au 0713007615
 
Nipo Tanga jiji sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye aliyepo Kibaha au wilaya yeyote ya Dar. plse ni PM tuanze mchakato.
 
Mwl njoo wilaya ya Handen nije wilaya ya hai,siha au moshi mjini (msingi)
 
We Butiama unaetaka kwenda kigoma weka mawasiliano kuna jamaa angu anataka au check 0718347136
 
Nipo Wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro. Nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Bagamoyo, Kibaha au Dar es salaam. Idara ya sekondari
 
Njoo njombe(halmashauri) nije wilaya yoyote ile ya MBEYA.-idara secondary.
 
Njoo Ilongero singida nije Arusha Babati. Idara sec...fanya fast umeme, maji usafiri tele. Fanya fast ntaghair ni PM
 
Za kwenu wapendwa?
Naomba kuuliza hivi inawezekana kubadilishana mikoa au ni wilaya tu?
Naomba msaada wenu tafadhali.
 
Mwl NASIPU idara (SEC) yupo TABORA-UYUI anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka eidha ARUSHA,KILIMANJARO(moshi) au MANYARA.
Na 0782795135/
0684057083 au 0759743638.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…