WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Morning wadau! kubadilishana vituo idara tofauti inawezekana? naomba nisaidien
 
Njoo kilwa masoko,,dogo aende kibaha,Dar au mkuranga..idara ya sekondari
 
Njoo kilwa,,mshkaji aende kyela Mbeya,,,idara ya sekondari..anayehitaji ani PM
 
kuna mwl anataka kwenda kinondoni, abadilishane na anaetaka kwenda KIBAHA Town!
 
Nina laki 5 kwa atakaekuja newala mtwarav me niende arusha, manyara au kilimanjaro na maeneo ya jirani. call me 0756817171 au kwa watsapp, idara ya sec.
 
Anayetaka kwenda tandahimba s/msingi dogo yupo huko anataka kurudi mbeya vijijini au mjini ama sumbawanga mjini
 
Nenda CHATO MJINI_GEITA mdogo wangu aje KIBAHA, MOROGORO MJINI au DODOMA MJINI. Chato ni ziwani, jimbo la Mh.MAGUFULI, barabara za rami mpaka vichakani, umeme 24hrs, maisha ni rahis samaki mkubwa wa Tsh1000/= wanakula familia ya watu watano na kuendelea. Huyu mdogo wangu anataka sehem hizo tajwa hapo juu zenye challenge ya maisha angalau. Ni_PM nikuunganishe nae.
 
Natafuta mwl wakubadilishana naye kituo cha kazi aliyeko geita wilaya ya bukombe aje nzega mim niende bukombe idara ya msingi liyetari anitafute kwa NO;0758405749
 
Njoo Tarime mjini nije Geita, sengerema au Mwanza 0768074472.
 
Nenda CHATO MJINI (sec) mdogo wangu aje KIBAHA, MOROGORO MANISPAA au DODOMA MANISPAA. Ni_pm
 
natafuta mwl wakubadilishana naye kituo cha kazi aje NZEGA NA MIM NIENDE GEITA WILAYA YA BUKOMBE alixeko tayar anitafute NO;0758405749
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari katika wilaya ya Ngara natafuta mtu wakubadilishana nae kituo cha kazi ili niweze kurudi Dodoma,kama kuna mwalimu yeyote anahitaji tubadilishane nae ni PM ili tupeane mawasiliano,jamani km ht ww ni mtu wa karagwe,biharamulo,kyerwa,misenyi hata bukomba unaweza ukasogea tu hapa Ngara karibu na kwenu.
 
Natafuta MWL tubadilishane aje Kasulu. mm niende bukombe, geita ,mwanza, dodoma mjin,au morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…