WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Natafuta Mwl wakubadilishana nate aje Kasulu mm niende bukombe,geita,singida, BABAT asecondary. secondar
 
Npo Kasulu idara ya sec wa bukombe geita, babati, singida, MWANZA, dodoma. na korogwe tubadilishane
 
Kama wewe ni mwalimu na ungependa kufanyia kaz wilaya ya KASULU taja ulipo Hapa then utawapata wa kuja huko ulipo
 
npo Kasulu nataka kurud maeneo ya jiran na moshi kama vile BABAT korogwe,dodoma mwanza na maeneo ya jiran na hayo
 
Kwa aliyeko mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko mang'ola mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0753738325/0754039566
 
Kwa mwl aliyeko mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko mang'ola mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0753738325/0754039566
 
Njoo mtwara-mjini shule ipo town nije mwanza jiji nyamagana au ilemela, idara ya secondary! namba yangu n 0652620272
 
Reactions: RZK
NATAFUTA mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, mimi nipo IKWIRIRI-rufiji mkoa wa PWANI wa kubadilishananaye awe anatoka SHINYANGA MANISPAA au KAHAMA MJI, nahitaji kurudi home kwa sababu za kifamilia...ikwiriri ipo karibu na dar es salaam, usafiri wa uhakika nauli ni shilingi elfu tano tu mbagala to ikwiriri, umeme na maji ni uhakika pia,_______________IDARA YA SEKONDARI.
kama upo tayari tuchekiane kwa namba hizi 0719198411/0757632037.


KAZI NJEMA
:dance::dance:
 
Jamani walimu wanaotaka kuhamia mtwara tutafutane Mimi niende mbeya, iringa morogoro, njombe idara msingi cont 0689976850
 
Mwl wa geita hasa Wilaya ya bukombe geita mjin singida,kahama mjin mwanza na dodoma njoo Kasulu idara ya sec
 
naomba kubadilishana vituo vya kazi (mwl sec)njoo ngara mimi nije arusha,manyara au moshi
 
Mwalimu anayetakakuja moshi mimi niende kibaha au pwani. idara ya sekondari. 0757170397
 
kama kuna mwalimu aliye tayari tubadilishane vituo vya kazi yeye ale Ngara na mm niende Dodoma manispaa au wilaya ya chamwino.
 
Me ni Mwl wa Shule ya Msingi wilaya ya Urambo mjini mkoa wa Tabora, Nina miaka 4 kazini na nina TSD No.

Natafuta Mwl wakubadirishana nae toka MOROGORO mjini

ambae yuko interested anichek kwa +255 754 821 240
Asanteni,!!
 
Me ni Mwl wa Shule ya Msingi Ukombozi Urambo mjini mkoa wa Tabora, Nina miaka 4 kazini na TSD No.20.05/M.65

Natafuta Mwl wakubadirishana nae toka MOROGORO mjini

ambae yuko interested anichek kwa +255 754 821 240
Asanteni,!!

Umeweka full particulars zako hadharani humu kuna matapeli.. mtu akitaka kubadili nawe si mtaanzia PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…