WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa wale hasa wanaotaka kurudi makwao, wew ntafute tu; idara sekondari: hii ni kama unataka kutoka mkoa wa iringa wilaya yeyote urudi kwenu tanga wilaya ya handeni, kama uko tayari fanya chap mawasiliano hayo hapo waweza cheki kwa hapa 0658586674 au kwa hapa hivi 0766717288
 
jamani ina maana hakuna hata wa kuja mtwara? mi nije dar, kilimanjaro, arusha, au manyara? aliye tayari anipigie namba yagu hiyo hapo juu.
 
Yaani jamani Kigoma-Uvinza ndo mmegoma kabisa! Sa ndo ubinadamu gani huo? Njooni basi jamani idara ya msingi! Wale wa mikoa ya Manyara/Singida/Morogoro/Geita na Iringa ni pm!
 
Njoo mlele mpanda mkoa wa katavi mi nije morogoro, ,mwanza jiji,bagamoyo,Iringa,sumbawanga.0684994844. Idara ya msingi.
 
wadau, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae idara ya sekondari aje newala mkoa wa mtwara nami niende dar,manyara,kilimanjaro, arusha. tuwasiliane 0779 835260
 
Idara sec nipo Mwanza - ukerewe nataka kubadilisha na mwal aliye Mbeya,Iringa na njombe.Mawasiliano 0714620133
 
njoo mtwara vijijini nije ulipo idara msingi call me 0659138224 au 0786279760
 
Je, Wewe N Mwalim Idara Ya Secondary Upo Tabora Na Unataka Kwenda Tanga Kilindi? Cal Me 0753705024/0787705024, Plz Uwe Mkwel Unapopga Na. Hzo Chtaj Kudanganyana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…