WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Kwa yeyote anependa kufanyia kazi halmashuri ya kasulu kutoka mwnza, kibaha, moro, dar, Bagamoyo, korogwe,tanga mijin. tuwasiliane nipo idara ya sekondari
 
Hakuna sehemu ngumu kupata mtu wa kubadilishana nae kama Kigoma hata wazawa wa kule huwa hawapataki
 
Kwa aliyeko mkoani Pwani idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana nae kupitia namba 0764114016
 
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi jina langu ni Windiupendo nipo Kibaha KWA MATHIAS natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka manispaa ya dodoma kwa mawasiliano 0757874521
 
Naendelea kusisitiza mwalimu anyetaka kuja mbeya wilaya ya rungwe tukuyu tubadilishane ikiwa unatokea wilaya ya mbozi mbeya mwl wa secondary. Call via 0768117713.
 
kuna rafiki yangu yupo Mbeya wilaya ya Momba shule inaitwa Mpemba sekondari anataka kubadilishana na mtu wa Dar, Moro au Pwani. 0716 085 780
 
mi nipo liwale idara ya sekondari aliye tayari kutoka MWANZA KIMANJARO ARUSHA TANGA NA DAR ES SALAAM TUBADILISHANE NITATOA NA 200000. 0689702853/0757541634
 
mi nipo LIWALE LINDI idara ya sekondari aliye tayari kutoka MWANZA KIMANJARO ARUSHA TANGA NA DAR ES SALAAM TUBADILISHANE NITATOA NA 200000. 0689702853/0757541634
 
Njoo MBULU-MANYARA mm nije MOROGORO MJINI Idara ya sekondari mawasili 0784127593
 
npo HALMASHAUR YA BAGAMOYO idara ya sec. Natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka HALMASHAUR YA MOSH. Kwa aliye tayar tuwacliane 0784035214
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…