WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetaka kuhamia nzega tabora kutoka iringa vjjn/irnga mjin/kilolo/mufindi/morogoro/njombe/kibaha/dodoma na mbeya, mahali nilipo kuna umeme,maji,hospitali, na usafiri sababu ni kutaka kuwa jirani na familia yangu namba 0752430195 ukipata ujumbe huu mfahamishe na mwenzako asanten.
 
tubadilishane mie niko wilaya ya Nzega Tabora idara ya secondary,,,,nataka kwenda Dodoma wilaya ya Kondoa au wialya yeyote katika mkoa wa Pwani au Tanga kama inawezekana,,Nitafute kwa namba 0787 855956 au 0685 733122
 
uko idara gani? kuna rafiki yangu yupo idara ya sec
 
Wadau nipo SERENGETI MARA anaetaka kuja huku akitokea Nzega, Sengerema au Mwanza jiji anijulishe kupitia 0688819660 au 0754623199 au zachariamagige@gmail.com kama anatokea Mwanza Jiji atapata jiko dogo laa gesi kitanda na godoro la futi 5/6
 
Ni mwalimu yupo idara ya msingi tabora anataka kwenda either iringa,njombe ama mbeya no.0765832560au0785078756
 
Ni mwalimu yupo idara ya msingi tabora anataka kwenda either iringa,njombe ama mbeya no.0765832560au0785078756 mawasiliano
 
uko idara gani? kuna rafiki yangu yupo idara ya sec

Jamani Nipo Idara Ya Elimu Secondary Nzega Nahitaji Kuhamia Iringa Vijjn/iringa Mjin/kilolo/mufind/njombe/kibaha/morogoro/dodoma/bagamoyo/ Na Sehemu Nyngne Jiran Na Iringa NAMBA 0752430195
 
Yaani huku noma mimi nipo kigoma mjini nataka kwenda tanga, moro au dar ukipata mtu ni tell 0653846627
 
Mwl secondary anaetaka kuja kaliua tabora kutokea dodoma tubadilishane
 
Mwalimu kalistus kisakali, shule ya msingi misufini b songea, anaomba kubadilishana na mwalimu toka halimashauri ya mji wa njombe.

Kama kuna mwalimu interested ni ''pm" ama mpigie kwa namba ifuatayo ;076333203 ama nipigie mimi 0766925042

asanteni
 
Mi niko Singida,Idara sec. Nahitaji kubadilishana na mwalimu toka Sirari,Tarime,Magu,Busega. No. 0757966585.
 
Mimi ni mwl sec njoo kigoma mjini nije tanga, moro, dar au dodoma ni pm 0653846627.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…